More Highlights...
- Amb. Herbert Mrango - Deputy Permanent Secretary…
- Ministry of Infrastructure - Budget 2010/2011
- Ziara ya Katibu Mkuu Omari Chambo kutembelea mradi…
- UTEUZI WA MWENYEKITI WA BODI YA CHUO CHA BAHARI…
- BODI MPYA YA TPA
- Floods shut Dar – Dodoma, part of the central…
- Ministry of Infrastructure Development restructured…
- TAARIFA KUHUSU MASUALA YA TRL
- Tanzanian minister highlights China’s contribution…
- EAC Roads Sector Projects
- Ujenzi wa MiundoMbinu na msukosuko wa fedha duniani…
- Kilimanjaro International Airport - KIA
- Daraja la Umoja Kukamilika 2009
- ATCL gets lease to fly again
- Tanzania to use $946m to improve its regional…
Site Search
Reports & Policies
To facilitate provision of an economic, safe and reliable constriction industry, transport and services, meteorology, government buildings...

Ministry of Infrastructure Development
Its mission is to facilitate provision of an economic, safe and reliable construction industry, transport and services, meteorology, electrical and mechanical services, government buildings and stores that meet the needs of the public through development and implementation of appropriate sector policies, strategies and standards.
News and HighlightsEU yatoa Euro milioni 49 kukarabati miundombinu mikoa mitatu
Jumuiya ya Ulaya (EU) imetoa zaidi ya Euro milioni 49 kwa ajili ya ukarabati wa miundo mbinu ya maji katika mikoa ya Iringa, Mbeya na Mwanza. Makabidhiano ya msaada huo yalifanyika jana Jijini Dar es Salaam, kati ya Balozi wa EU hapa nchini Bw. Frans Baan na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Bw. Gray Mgonja. Kwa mujibu wa viwango vya kubadilisha fedha, Euro moja ni sawa na Sh. 1,440. Akizungumza na waandishi wa habari Bw. Mgonja alisema mradi huo ni utekelezaji wa makubaliano ya awamu ya pili kwa ajili ya kukarabati mabomba ya maji katika mikoa hiyo. Alisema katika mradi huo EU inatoa Euro milioni 52.4, Serikali ya Ujerumani inachangia Euro milioni 11.55 na serikali kupitia mamlaka ya maji safi na maji taka mijini (UWSA) itatoa Euro 0.35. Aliongeza kuwa kufuatia msaada huo, zaidi ya watu milioni moja wanaoishi mijini katika mikoa hiyo watapata maji safi na salama. Bw. Mgonja alisema pamoja na kupata huduma hiyo, jamii itaepushwa na magonjwa ya kuambukiza. ��Upatikanaji wa maji safi na salama utaondoa pia wasiwasi wa kupatwa na magonjwa ambayo yangerudisha nyuma maendeleo na kuongeza gharama za matibabu ,�� alisema Bw. Mgonja. Pia itawapunguzia pia wanawake kero ya kufuata maji umbali mrefu, kwa mujibu wa Katibu Mkuu. Alisema Wizara ya Maji na Maendeleo ya Mifugo ina jukumu la kuhakikisha kuwa mradi huo wa karibu miaka mitano ulioanza 2003 unakamilika kwa wakati. Balozi Baan kwa upande wake alisema mradi huo utawezesha maeneo muhimu ya uzalishaji katika mikoa hiyo kama viwanda kupata huduma ya maji. Mike Williams |
Reports and Publications
- Ministry of Infrastructure - Budget 2010/2011
- Ziara wa Waziri mikoa ya Morogoro na Ruvuma Machi, 2010
- Ziara ya Waziri wa Miundombinu JNIA, Februari 2010
- First Business Roundtable Meeting Transport Infrastructure Constrains: Challenges and Opportunities
- Creating Sustainable Fiscal Space for Infrastructure: The Case of Tanzania
- Ministry of Infrastructure - Budget 2008/2009
